NOTE! This site uses cookies and similar technologies.

If you not change browser settings, you agree to it.

I understand

Reporting the underreported about the plan of action for People, Planet and Prosperity, and efforts to make the promise of the SDGs a reality.
A project of the Non-profit International Press Syndicate Group with IDN as the Flagship Agency in partnership with Soka Gakkai International in consultative status with ECOSOC.


SGI Soka Gakkai International

 

Picha: Mariam Kassim Salum anachaji simu yake kwenye kifaa cha nishati ya jua katika kijiji cha Kizimkazi huko Zanzibar, Tanzania. Kwa hisani ya: Chuo cha Barefoot

Na Kizito Makoye

KENDWA, Tanzania (IDN) – Giza linapoingia, Natasha Mahmood na kaka yake hupiga gumzo karibu na mwali wa taa ya mafuta taa, wakiharakisha kumaliza kazi yao ya ziada kabla mama yao aizime taa ili kuhifadhi mafuta.

"Mimi mara nyingi hujaribu kuikamilisha mapema. Lakini hilo sio suala wakati wote. Mwalimu wangu wakati mwingine huniadhibu kwa ajili ya kushindwa kukamilisha kazi yangu," anasema Mahmood, moshi kutoka kwenye taa unapofuka ndani ya paa la mabati lililochafuliwa na masizi yanayotokana na moshi.

Page 1 of 3

Newsletter

Newsletter April 2023

SDGs FOR ALL - Issue 1 April 2023

Striving

Striving for People Planet and Peace 2022

Mapting

MAPTING

Partners

SDG Media Compact


Please publish modules in offcanvas position.